AIDS Trust Fund
17/8/2019 11:37 AM | Admin
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma Bw. Jabir Shekimweri (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa kitaifa na mkoa wa Dodoma pamoja na sehemu ya wananchi walioshiriki katika wa hafla ya kuhamasisha na kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Udhamini wa UKIMWI Tanzania (ATF), Jijini Dodoma iliyoshirikisha wananchi, wanafunzi na wadau mbalimbali wa mapambano dhidi ya UKIMWI.